Home MUSIC Audio:Van Dee-Rudi:Download

Audio:Van Dee-Rudi:Download

Wimbo Huu Ni Story ya kweli kabisa ikizungumia mwanamke aliyeondoka na katika Ndoa yake.anakumbushwa kurudi kwani amemwachia mateso mtoto wake mdogo alyemwacha pamoja na mumewe hivyo karibu uusikilizie wimbo huu usambaze kwa watu wengi uweze Kuwafikia wahanga wa mambo kama haya.Nyimbo hii imetengenezwa na Mocco Genius

BASED ON TRUE STORY

IDEA By Jb Media tz